Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa mshambulizi wa mabingwa wa Uingereza Leicester city Jammy Vardy huenda akajiunga na washika mitutu wa london Arsenal. je usajili huu utakuwa ndo tiba ya arsenal ya kuto kutwaa mataji makubwa takribani miaka kumi na mbili sasa????????
No comments:
Post a Comment