tubonge tanzania

Sunday, June 5, 2016

Nitapiga kinubi kwaya ya mt yoseph ruanda mbeya

TUBONGE TANZANIA:Bwana ndiye mchungaji wangu kwaya ya mt yoseph ruandamby

TUBONGE TANZANIA: DKT SHEIN ANOGESHA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA YA ...

TUBONGE TANZANIA: DKT SHEIN ANOGESHA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA YA ...:   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea risala ya Ch...

SPECIAL ONE KUFANYA KAZI NA IBRAHIMOVIC TENAAA???

Hivi karibuni mara baada ya PSG kutwaa ubingwa wa Ufaransa mshambuliaji wao matata Zlatan Ibrahimovic alitangazaa kuachana na timu hiyoo lakini mara baada ya Jose Mourinho kutangazwaa kuwa kocha mpya wa Man.utd mshambulizi huyoo amehusishwa na kujiunga na timu hiyo pamoja na kicha wake huyo wa zamaniii. nini kitaendelea kaa nasi Tubonge tanzania kwa taarifa zaidi

USAJILI WA VARDY NI SULUHISHO KWA ARSENAL KUTWAA VIKOMBEEE???

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa mshambulizi wa mabingwa wa Uingereza Leicester city Jammy Vardy huenda akajiunga na washika mitutu wa london Arsenal. je usajili huu utakuwa ndo tiba ya arsenal ya kuto kutwaa mataji makubwa takribani miaka kumi na mbili sasa????????

MABINGWA WA TANZANIA BARA 2016/2017

TUBONGE TANZANIA:MISS ILEMELA 2016 APATIKANA

TUBONGE TANZANIA: MLIMBWENDE WA TAJI LA MISS ILEMELA 2016 APATIKANA....: Mlimbwende Maria Frances (katikati) ametwaa taji la MISS ILEMELA 2016. Shindano la kumsaka mlimbwende huyo lilifanyika usiku wa jana Jun...

Ung'areee kwaya ya mt yoseph mfanyakazi ruanda mby