tubonge tanzania

Sunday, June 5, 2016

SPECIAL ONE KUFANYA KAZI NA IBRAHIMOVIC TENAAA???

Hivi karibuni mara baada ya PSG kutwaa ubingwa wa Ufaransa mshambuliaji wao matata Zlatan Ibrahimovic alitangazaa kuachana na timu hiyoo lakini mara baada ya Jose Mourinho kutangazwaa kuwa kocha mpya wa Man.utd mshambulizi huyoo amehusishwa na kujiunga na timu hiyo pamoja na kicha wake huyo wa zamaniii. nini kitaendelea kaa nasi Tubonge tanzania kwa taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment